Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha laiti kama angekuwa kidume usingeweka hii picha
Sisi hatuhangaiki na picha za vidume. Hiyo ni idara yenu....Mwanaume aweke picha za vidume ili iweje?

(Nimo ndani ya treni tayari nshadandia miye. Litakakonifikisha huko huko mi ndo naenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099])...
 
Nimegundua wanaume wa humu mnapenda sana wanawake wanene haipiti siku bila picha za minyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…