Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu wanamuombea dua za maangamizi humo!!..[emoji2089][emoji2089]
 
Kwa mujibu wa Transfermarkt, uhamisho huo na ule wa kutoka Anderlecht kwenda Chelsea na kisha Chelsea kwenda Everton umemfanya staa huyo kuzigharimu timu zaidi ya Pauni 183 milioni kwa ada zote zilizolipwa kwenye usajili wake.
 
Staa wa Kibrazili, Neymar ndiye anayeshika namba moja baada ya uhamisho wake wa Pauni 198 milioni kutoka Barcelona kwenda Paris Saint-Germain mwaka 2017 na ule uhamisho wa kutoka Santos kwenda Barcelona, uliogharimu karibu Pauni 80 milioni na hivyo kufanya mchezaji huyo awe amesajili kwa Pauni 278 milioni.
 
Cristiano Ronaldo anashika namba mbili baada ya uhamisho wake wote kugharimu Pauni 207 milioni. Mreno huyo aliigharimu Man United Pauni 17 milioni mwaka 2003, kabla ya kunaswa na Real Madrid kwa ada ya Pauni 85 milioni mwaka 2009 na kutua Juventus mwaka jana kwa ada ya Pauni 99 milioni.
 
Straika, Alvaro Morata anashika namba tano kwa kugharimu Pauni 161 milioni mara zote alizohamishwa huku akiwa analingana na Angel Di Maria, ambaye baada ya kunaswa na PSG basi umemfanya ada yake ya uhamisho iliyolipwa kwa wakati wote kufikia Pauni 161 milioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…