Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1565627653837.jpeg
 
Kila inapoanguka gari hivi sasa watu wanarudisha nyuma kumbukumbu zao.

Kamanda, kutokea mlandizi, chalinze kuelekea mbele mbele huko, watu wanaoishi kando ya barabara kuu wengi wao ni wezi wakubwa na wauaji.
Ukipata ajali maeneo ya barabara kuu muombe Mungu akusadie usiumie sana, vinginevyo marungu yanakuhusu .
Uoga umezidi sasa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Vipepeo wamejaa humo...
Na wapingaji wengi humu Jf ni vipepeo weusi...
Shwaini kabisa...
 
Back
Top Bottom