Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Niko sawa sana Mzee wa Deals KUBWA!Hahah! Hapana bro tena nilisahau atakama jana ni Eid...... Nilikua nakimbizana zile mambo zetu zimekuja tena
Mambo vipi lakini jamaa?
Me pia natumia mashoto kucheza mpira. Kundi hili linanihusu Uncle?Tusiisahau siku yetu jamani....
SHIMBA [emoji120][emoji120]
Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa
SIKU YA MASHOTO DUNIANI LEO Agosti 13, ni siku ya Mashoto Duniani (International Lefthanders Day). Siku hii imekuwa ikisherehekewa kila mwaka toka Agosti 13, 1976 pale chama cha Mashoto (Lefthanders International) kilipoitangaza siku hii kuwa maalumu kuwathamini mashoto ambao wanatengeneza 10%...www.jamiiforums.com