Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Utamu wa uzi usha potea kwangu. Mtu anawazaje hivyo. Ameshinda marangapi na hatujasema kitu.
Lengo letu sio K jamani, tupo kufurahishana bila kukwazana, hatuna mshindi hapa. Mimi nimefukuzwa bar na mameneja kwa ajili ya uzi huu, naagiza castle lite masaa mawili haishi, nipo busy na like tu. Saa hivi wakiniona wanakusanya viti vya wazi wanapeleka store.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…