Hakikisha Picha ya Nguo Inaonekana Pande Zote (Nyuzi 360)
Kwa mara nyingine, hakikisha unamsaidia mnunuzi wa nguo kupata picha jinsi atakavyoonekana akiivaa hiyo nguo. Kama ni gauni, suruali au T-shirt, hakikisha picha unazozipiga zinaonesha pande zote za nguo hiyo, yaanimbele, nyuma na pembeni.