Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umenikumbusha National Panasonic ya Mzee Igobo pale kijijini. Habari zote za muhimu tulikuwa tunazipata hapo. Saa kumi na mbili asubuhi utaisikia tu taarifa ya habari...

Those good ole days indeed wallahi..
Sasa tunaishia kufa kwa mawazo na mambo mazito yanayo tujaa mavifuani mwetu. Hatuna pa kupumulia, kila mtu ndani mwake kama sio Bar au kwa Mwamposa na timu yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…