Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duh! Siasa hizi ngumu sana
Anaitwaje huyu?Huyu ndiye mnyama anayedaiwa kuwa na Bahati,
Inadaiwa ukijiweka karibu na mnyama huyu au mabaki yake basi hakuna utakachokosa hapa Duniani.
Kutokana na hilo watu wengi wametapiliwa ili kumpata mnyama huyo au mabaki yake.
Hata hivyo mnyama huyu huonekana mara chache au huenda hapatikani kabisa Tanzania, lakini wamejaa kando ya Mito na vijito vya Pori la Amazon na hivyo kuwa chakula maarufu cha JaguarView attachment 1172932
Nadhani Liver watashinda.Kete yako unampa nani
Hasa za kipindi hiki. Kila mtu ana mapembe. Kama mimi na utaalamu wangu sikubali kudhalilishwa na wapuuzi hawa aisee liwalo na liwe.Duh! Siasa hizi ngumu sana