Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakika hii ni sahihiMwanamke huvutiwa na mwanaume anaejiamini. Ni siri ambayo hawataweza kukwambia lakin ndio ukweli.
Hata akikuxingua . Ww mwache.. baada ya muda atakuja mwenyewe .. na kinachomrudisha ni kwamba anakuona una msimamo. Kwamba hutingishiki
Mmh kijana wewe una ulevi flan napo boring hope VVD atachukua ballon uumie vizuri
Sijambo,mzima?
Sana yaan,,jamaa uzi wake unachekesha sana[emoji16][emoji16]Kiduku ana shida sana[emoji23][emoji23]
Aje ninge
Yaani yameshanikuta hata nami, demu alinirudia mwenyeeeweeeHakika hii ni sahihi
C.c F.M.A
Wengine wamejikalia pembeni wakiangalia watu wanavyogawana mafutaView attachment 1183072