Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanamke huvutiwa na mwanaume anaejiamini. Ni siri ambayo hawataweza kukwambia lakin ndio ukweli.
Hata akikuxingua . Ww mwache.. baada ya muda atakuja mwenyewe .. na kinachomrudisha ni kwamba anakuona una msimamo. Kwamba hutingishiki
Hakika hii ni sahihi

C.c F.M.A
 
Mmh kijana wewe una ulevi flan napo boring hope VVD atachukua ballon uumie vizuri

Sijambo,mzima?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi nafanya kwa ajili yako tu [emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]

Vyema kufahamu uko mzima Endelea kubarikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…