Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kula matunda yenye potasiam kama ndizi na apricot kwa wingi yanasaidia kupunguza magonjwa ya shinikizo la damu. Matunda aina hizi husaidia pia kupunguza mawe kujaa kwenye figo.
Si nilikuja kukutafuta ulipofichwa[emoji57]Sio mbaya wala sio nzuri sana nashukuru Mungu... Vipi wewe pia ulipotea kidogo, nimepitia posts za nyuma sijakuona
Phoenix Arizona....
Panachemkaga sana mpaka mabroila wanakufaga sometimes [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Same to You Coco, hopeful U-mzima
[emoji126][emoji126][emoji126]Kununulia vocha
Sijafichwa bro nipo tu siunajua tena#KafichwatanguIddi
#Hananywila