Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
kiasi cha phosphorus kipatikanacho kwenye samaki ni muhimu sana kwa ajili ya kusaidia macho yaendelee kuona vizuri.
👍👍nyama nyeupe ni nzuri sana kama ikitumika kama sehemu ya diet kwa ajili ya kupunguza uzito kwani ni laini na mwili unaimeng'enya kirahisi sana.
Anh sawa, tuendelee kupambana.Hahah! Eti nilipofichwa. Daah!
Sijafichwa bhana basi tu mambo mambo
That my bro 👊👊Oooooh.....
Nimekupata bro
Hizi likes kazi yake kuu ni nini
Kununulia vocha
[emoji122][emoji122]nyama hizi zina amino acid nyingi ambayo ni muhimu kwa ujenzi wa seli za binadamu na ukuaji wa nywele kwa ujumla.
Passport--> KoneksheniHuku kwema bro...
Bongo hii bila konekisheni huwezi ishi. Kila kitu mpaka mahosipitalini. Hovyo sana !!!
Am glad kama unapata kitu cha kujifunza BroPost zako sis. Always zina kitu cha kujifunza .
Yes THFor real
✔✔Faida kuu za matunda ni kuzuia maradhi, kurutubisha kinga ya mwili, kupunguza sukari kwenye damu, kuleta nguvu na kuleta mafuta asilia kwenye mwili.
Breaching....Papa mkubwa papa,
Papa mdogo jee...View attachment 1183177
Sijafichwa bro nipo tu siunajua tena
View attachment 1183171
Bro toka lini upo huku??karbu ArdhiSijafichwa bro nipo tu siunajua tena
View attachment 1183171
Nikweli kabisa....Anh sawa, tuendelee kupambana.