myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
21:21
Huku poa bro....Passport--> Koneksheni
Matibabu --> Koneksheni
Mikopo --> Koneksheni
Polisi --> Koneksheni
Na kuna wanaocheza zumba kwa Koneksheni pia.
Siku imeendaje mitaa hiyo?
Hii yenyewe bro (Honey City)Bro Tabora au mkoa gani huo
Tanga. Maalim unauliza majibu?Bro Tabora au mkoa gani huo
Tanga. Maalim unauliza majibu?
😀 😀 😀Inapendeza Sana
#Siosanasichelewikununa[emoji41]
Hii leo tu bro nimedondoka mida ya Tano asubuhi.... Asante sana mzee mwenzanguBro toka lini upo huku??karbu Ardhi
Niliyapata, nakwambia hapa mmbichwa huo timu yetu inaongoza[emoji28][emoji28]....anyway tumeanza vyema msimu,Nikweli kabisa....
Ulipata matokeo ya man city kwamba walishinda 5-0 na tunaongoza ligi?