Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Yeah, ni kweli.Huku poa bro....
Konekisheni zinaboa na ndiyo changamoto yangu kubwa Bongo. Miye ni mkimya na sipendi kujipendekeza pendekeza na kudeal na watu. Connections hizi ni mtihani sana kwangu ndo maana napapenda sana huko kwa wenzetu ambako mambo haya ya connection wamefanikiwa kuyaminya ka kiasi kikubwa.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Karbu sana bro...
#hukupiatunaachaalamakamakule
Hapana, sikujua kabisa.!Unajua kwamba leo Barca wanacheza 22:00?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2089] [emoji2089]
Wa burigi muone tu humuYeah, ni kweli.
Bahati mbaya imekua ni tabia na baadhi ya watu kila wanachofanya anataka apitie mlango wa nyuma hata mambo yakawaida kabisa.
Mimi nawaweka wanalike karibu, nikienda Dar ntawatafuta kina King, chato kuna dada yetu pia n.k
Fanya fujo kila unapoweza bana.[emoji38]
Yani ili mradi fujo tu
Monday. Wolves vs man u
Haha, sawa sawaFanya fujo kila unapoweza bana.
#YouOnlyLiveOnce
Acha tu,nikiwakumbuka mwaka jana jinsi walivyokaza kwa timu kubwa,nabaki mpoleVijamaa vinakamiaga mechi hivi
Halafu vinapigwa kizembe na vibonde wenzaoAcha tu,nikiwakumbuka mwaka jana jinsi walivyokaza kwa timu kubwa,nabaki mpole
Ooh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]