Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

447814043_273909.jpeg
 
Sawa, lakini kuonyesha onyesha mimba si katika tamaduni zetu.
Wako wapi watetezi wa mila na tamaduni za mtanzania?
Ndugu yangu. Siku hizi kuna mila za Mtanzania kweli? Sidhani...Hata tukipambana na haya mambo madogo haya katika kipindi hiki cha mtandao ni kupoteza muda tu. Afadhali tuhangaike na mambo makubwa....

Na hapo kuna Mganda na Mkenya pia....Labda mila zao zinaruhusu...
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Back
Top Bottom