Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
[emoji3]
Wakatalunya...Kapumzike dada.
Matokeo tutakupa kesho wala usiyatafute.
Hunitakii mema bro....Umeonaeeeh[emoji3][emoji3][emoji3]
#MwenyekitiArudiTuu
Hajawahi kuwa mgumu huyo. Mbwembwe tu. Data zake ukipewa utashangaa [emoji16][emoji16][emoji16]hahahahahaha
Poti unanichanganya [emoji3][emoji3][emoji3]
#unaanzaKuyeyukaAu?
State why they should give you the job while you are still underage....
Huo ndiyo uanaume sasa...Jamaa halina habari kabisaView attachment 1183343
Wachina hao...Hawashindwi kitu....
Wakatalunya kulikoni? [emoji116][emoji116][emoji116]Kapumzike dada.
Matokeo tutakupa kesho wala usiyatafute.
Barcelona bila Messi ni kama Lipuli tu kila siku tunawaambia hili jambo lakini vichwa vyenu huwa havielewi.
No Messi No Barcelona.
Barcelona ni Yanga iliyochangamka.
Barcelona bila Messi ni sawa na kula ugali kwa picha ya samaki
Nimeona matokeo bro
Mtu na mdogo wake [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1183275
Wakatalunya kulikoni? [emoji116][emoji116][emoji116]