Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
East African Federation hii....
Kwa hisani ya Domo....
Kapiga mimba East Africa yote. Usicheze na Tandale aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndugu yangu. Siku hizi kuna mila za Mtanzania kweli? Sidhani...Hata tukipambana na haya mambo madogo haya katika kipindi hiki cha mtandao ni kupoteza muda tu. Afadhali tuhangaike na mambo makubwa....Sawa, lakini kuonyesha onyesha mimba si katika tamaduni zetu.
Wako wapi watetezi wa mila na tamaduni za mtanzania?
Ndugu yangu. Siku hizi kuna mila za Mtanzania kweli? Sidhani...Hata tukipambana na haya mambo madogo haya katika kipindi hiki cha mtandao ni kupoteza muda tu. Afadhali tuhangaike na mambo makubwa....
Na hapo kuna Mganda na Mkenya pia....Labda mila zao zinaruhusu...
Likija wimbi moja hapo korofi linawapiga dafrau si ajabu watawashtaki wenye hoteli...Mwendo wa kula bataView attachment 1183250
Ooohooo
#kijananikikupelekamilimaniusilaumu
#tenajiraninavilabuvyambege
Hakuna kitu kinacho kera kama tabia hizi za kina dada hasa hawa wa mjini...wanaona fasheni siku hizi....haikupaswa iwe hivi hata kidogo,suala la mwanamke kuwa na mimba sio matangazo kama wafanyavyo hawa.Kila kitu ni kuiga iga View attachment 1183239