Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahahahaha hadi nimepaliwa
1.Dada numbisa
2.Tangu lini red devils wana urafiki na mancity
3. Mpigwe tu hakuna namna
Jizazi....hahaha.. round ya sita usije anza sema tumbo linakuuma... unasikia kizunguzungu... mara asubuhi huwezi simama... huku ukisingizia hali ya hewa... unasahau mapema...
Nimefika Namagondo kwa Rosa Mistika. Sikuona maua. Jadi ya kubebana na mikokoteni ya maua, magauni ya bluu, viatu vya mchuchumio pamoja na mvinyo mwekundu Wakerewe wameianza lini?Haiwezi yeyushwa hata kwa makaa ya mawe poti. Maua ni jadi hiyo, sawa na Msukuma na utamaduni wa Fisi! [emoji16][emoji16]
Sisi nadhani ni maneno mengi na kutakiana mabaya. Watu wanaoana kimya kimya. Mimi mwenyewe kuna mtu humu asipozingua nimepanga kubeba jumla...ila ni kimya kimya kama ulivyosema. Ukitangaza tu umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna waliooana humu lakini hawakutaka watu wajue wamekutana humu, sijui kwanini watu wanahofia kusema wamekutana humu wakapendana hadi kuoana.
Kule India biashara ya kutafuta wachumba mitandaoni ni kubwa sana in $$$millions na nchi nyingine nyingi hasa za magharibi lakini kwetu bado watu wanaona noma kusema wamekutana mtandaoni.
Unataka namba za simu ama? Hazipo mtandaoni kweli ukigugo?Jamani mwenye mawasiliano ya UNYANYEMBE SECONDARY ya tabora naomba msaada tafadhari
Sisi nadhani ni maneno mengi na kutakiana mabaya. Watu wanaoana kimya kimya. Mimi mwenyewe kuna mtu humu asipozingua nimepanga kubeba jumla...ila ni kimya kimya kama ulivyosema. Ukitangaza tu umekwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
Jizazi....
Best couple laivu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu hawa Man city hawawezekaniki kabisa