Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpare Mpare tu bro. Kuna mwenzako humu tulimpa dada yetu akaoa. Kutoa mahari mpaka leo holaa tukimwendea anataka eti atupe bata. Kibaya zaidi keshamzalisha dadetu watoto wawili na kampiga marufuku kabisa kuwasiliana nasi. Tukiuliza tunaambiwa eti dada yuko bize na ufugaji wa kuku. Wapare sitakaa niwaamini tena.hahahahahah
Futa kauli yako bro.Mimi sina sifa za wapare unaowajua wewe.
Kaka mkubwa hamjamwelewa. Ni mchekeshaji tu maneno meeeengi na kufurahisha baraza tu na misambwanda yake lakini hana madhara kabisa. Ofishale amesharitaya na sasa amejikita kwenye kutoa nasaha tu za kimahusiano; na mengineyo. Ni wakati wenu maandaeitini. Mshindwe wenyewe tu indeed wallahi....Thubutu yake, kaka mkubwa mnyatiaji hatari! [emoji16][emoji16]
Usimsikilize huyo Mpare. Hakuna jipya hapo [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]When Jesus say YES nobody can say NO!