Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HahahahaSwali: Kwanini wadada wa JF ambao hawachangii mada, wanaosoma tuu, wanakuwa wazuri sana?
Nitaachia video hii naomba utulie Aisee unaakili ambazo zimekutoka kabisa unahitaji maombiwww.jamiiforums.com
Salama Bradha [emoji3][emoji3] pole sana aise....huko kwenye ushabiki wa mpira sipoSalama sis?
I hope siku inaisha vizuri hapo.Jana team yetu imefungwa bana...
Shukrani kamanda, mimi nipo.Mkuu Malcom Lumumba wadau tumekuremember sana
Heshima yako mkuuShukrani kamanda, mimi nipo.
Salama sis?
I hope siku inaisha vizuri hapo.Jana team yetu imefungwa bana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Salama Bradha [emoji3][emoji3] pole sana aise....huko kwenye ushabiki wa mpira sipo
Njema hujambo?Habari
Naona jpili murua kabisaHahahaha
Monday loadingGiving up was always an option but never my choice...!!
Kila nikiwafikilia wale watoto..napata ukakasi flani hivi...Monday loading
Hope tutauvuka huu mtihan salama. Poti na bradha wasipate cha kuongeaKila nikiwafikilia wale watoto..napata ukakasi flani hivi...