Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Jamaa nasikia kaongezeka 4kg
Habari za Jumapili Ankoo?![]()
Swali: Kwanini wadada wa JF ambao hawachangii mada, wanaosoma tuu, wanakuwa wazuri sana?
Nitaachia video hii naomba utulie Aisee unaakili ambazo zimekutoka kabisa unahitaji maombiwww.jamiiforums.com
Safi sana sis. Kujipa steresi za bure tu...Salama Bradha [emoji3][emoji3] pole sana aise....huko kwenye ushabiki wa mpira sipo
Majina ya Kihispania haya nayo duh! Kumbe ni Hesuz.....Jesus alipaniki balaa hahah
Ankoo habari za Jumapili?
Habari za Jumapili Shemeji?Majina ya Kihispania haya nayo duh! Kumbe ni Hesuz.....
Kabisa best jpili ya furaha tele.Naona jpili murua kabisa
Huku kwema ndugu yangu...Habari za Jumapili Shemeji?
Kumekucha tena