Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

464137109_55856.jpeg
 
Tumblr walipiga marufuku mambo ya kikubwa kuanzia mwaka jana December. Wakati huo site ilikuwa na thamani ya bilioni moja+. Watu wameikimbia wamiliki wake (Yahoo) wamekuja kushtuka ishaporomoka thamani na imebidi waiuze kwa dola milioni 200. Na sasa inatajwa kuwa ni one of the biggest business blunders zinazoendelea kuitafuna Yahoo....
a71fbff8-4c6d-4315-ba40-feb8b41fa7db.jpeg
 
Huku kwema ndugu yangu...

Kucha kutaendelea. Mpaka siku moja kutakucha na sisi hatutakuwepo. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kushuhudia kucha huku kwa leo...

Malizia wikiendi salama
Amen [emoji120][emoji120]
"Mpaka siku moja kutakucha na sisi hatutakuwepo"

Maana yake huo ndio utakuwa mwisho wa kuyatazama madude huku mwenye nayo akitembea kwa kuneng'eneka na kujimwaya mwaya!!!...
Eee Mungu nipe Gbs za kutosha ili nihifadhi vingi, yaani ile siku naporomoshwa shimoni tu, naanza kuinjoika na kumbukumbu za misambwax ya kila aina...
Maneno(yasiyo kupendeza yasitimie) huumba...
tapatalk_1561525997329.jpeg
 
Back
Top Bottom