Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Njia pekee ya kupambana na Man City ni VAR [emoji23][emoji23]View attachment 1184395
Hope itakuwa hivyo binti mpole..Hope tutauvuka huu mtihan salama. Poti na bradha wasipate cha kuongea
Jesus alipaniki balaa hahah
Jamaa ana ugomvi na VAR. Alishailetea fujo akiwa na jezi ya brazilJesus alipaniki balaa hahah
Anatakiwa awe mpoleJamaa ana ugomvi na VAR. Alishailetea fujo akiwa na jezi ya brazil