Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Namshukuru Mungu kila kitu kipo sawa.Salama ankoo,jana mambo yalikuwa mengi kidogo,ila nipo salama kabsa.
Habari za kwako ankoo?nyumbani wanaendeleaje?
Amen [emoji120][emoji120]
"Mpaka siku moja kutakucha na sisi hatutakuwepo"
Maana yake huo ndio utakuwa mwisho wa kuyatazama madude huku mwenye nayo akitembea kwa kuneng'eneka na kujimwaya mwaya!!!...
Eee Mungu nipe Gbs za kutosha ili nihifadhi vingi, yaani ile siku naporomoshwa shimoni tu, naanza kuinjoika na kumbukumbu za misambwax ya kila aina...
Maneno(yasiyo kupendeza yasitimie) huumba...View attachment 1184465
[emoji125][emoji125][emoji125]hebu nenda kanisani haraka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tayari ushaende deeeeep kama kawaida yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule upande wa pili inasemekana sometimes madude yapo hata baada ya kuporomoshwa shimoni. Tuangalie ustaarabu wa kuhamia huko aisee. Vinginevyo basi tuyafaudu hapa hapa wakati tungalipo. Yaani ukiwaza sana unaweza hata kumkumbuka Kiranga na kuanza kujiuliza maswali tatizi. Ilibidi iwe hivi? Ilikuwa lazima tuishie kuporomoshwa shimoni?
Halleluya [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
13:32Asubuhi njema
Amun RaIwe jumapili ya upendo
13:3305:48
Amun RaAmani itawale siku yetu
Mkuu habari za jumapiliHata kwa walezi wa demokrasia haya mambo yamefika. Sad !!!
View attachment 1184177
Habari za wikiendi kiongozi [emoji120][emoji120]Amun Ra