Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ngoja nikuone ankoo,samahani kwa usumbufuNamshukuru Mungu kila kitu kipo sawa.
Kuna pages nina shida nazo nikuone wapi?
Salama kabsa mkuu,,habar za masikuIkurudie mkuu, mambo vipi.
Namshukuru Mungu niko salama, nafurahi kuwakuta wazima.Salama kabsa mkuu,,habar za masiku
Kweli mkuuHuku kwema ndugu yangu...
Kucha kutaendelea. Mpaka siku moja kutakucha na sisi hatutakuwepo. Tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kushuhudia kucha huku kwa leo...
Malizia wikiendi salama
Gr8Ukerewe vp?
Hahahaha ndio cheo chakeEti His Holiness. Binadamu kwa kujipachika vyeo [emoji16][emoji16][emoji16]
Sijambo. Uwe na siku njema piaHujambo mrembo uwe na jumapili njema
AnkooooAmen [emoji120][emoji120]
"Mpaka siku moja kutakucha na sisi hatutakuwepo"
Maana yake huo ndio utakuwa mwisho wa kuyatazama madude huku mwenye nayo akitembea kwa kuneng'eneka na kujimwaya mwaya!!!...
Eee Mungu nipe Gbs za kutosha ili nihifadhi vingi, yaani ile siku naporomoshwa shimoni tu, naanza kuinjoika na kumbukumbu za misambwax ya kila aina...
Maneno(yasiyo kupendeza yasitimie) huumba...View attachment 1184465
Salama kabisa mzee wa jumong.za wiki nzima?Binti mpole ,man u kindakindaki
Habari za jumapili
Haapo sijui anko ila muyaya kaibuka upya either alibadili jina tu siku hizi yupo active siasaniHabari za Jumapili Ankoo?
Naomba nikuswalikepo kidogo, huyu "kanini sijui kabaya" ana undugu na yule aliye pigwa BANNED ya "muyaya" kwa kutupia humu picha ya parachichi kuliwa kupitia "puani"?
Salama mkuu,habar za kupotea?Mkuu ninge
Mambo vipi jumapili iko njema
Hapo kwenye kumkumbuka kiranga dah jamaa ana mada fikirishi sanaTayari ushaende deeeeep kama kawaida yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kule upande wa pili inasemekana sometimes madude yapo hata baada ya kuporomoshwa shimoni. Tuangalie ustaarabu wa kuhamia huko aisee. Vinginevyo basi tuyafaudu hapa hapa wakati tungalipo. Yaani ukiwaza sana unaweza hata kumkumbuka Kiranga na kuanza kujiuliza maswali tatizi. Ilibidi iwe hivi? Ilikuwa lazima tuishie kuporomoshwa shimoni?
Halleluya [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Umeshaiangalia hii?ipo vizuri?
Amun RaAmani itawale siku yetu
Aka Davet
Njema kabisa mkuu familia haijamboHabari za wikiendi kiongozi [emoji120][emoji120]
Uwe na jumapili njemaSafi ndugu.
Tunamshukuru mwenye enzi mkuu kwa talanta hizi anazotujaliaSalama kabisa mkuu. Habari za majukumu!