mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha kifo hicho
Kweli kabisa broKazi yake kuu ni kusukuma damu. Haya mengine mnausingizia tu...
Aisee kwa hiyo huyu jamaa sifa anazopewa zinastahiriUkiwa mtandaoni hakuna siri hata kama chombo unachotumia ni cha siri.
Jana nilikuwa naangalia documentary moja kuhusu program moja inaitwa Pegasus iliyotengenezwa na kampuni moja la Israeli. Hii ina uwezo wa kudukua cho chote kuanzia simu, chats, email, sms...Japo inauzwa ghali sana lakini ndiyo inatumika sasa na mashirika mengi ya kijasusi na serikali. Ndiyo ilitumiwa na serikali ya Saudia kudukua mawasiliano ya Kasshogi japo alikuwa anawasiliana kwa siri kwa kutumia iPhone maalum katika mtandao aliodhani kuwa ulikuwa salama (encrypted).
Kwa ujumla tu ni kwamba hakuna siri...
Huyu atakuwa mkongoKanda gani hii?View attachment 1185222
JF waweke na kitufe cha "dislike"
JF waweke na kitufe cha "dislike"
Aisee kuna vitu adimu sana katika hii dunia wacha tule mema ya nzimaHahah bro...karbu mlima sekenkeView attachment 1185223
Klop number 1 safi sana
Face Everything And Rise
Hii kitu inapunguza msisimko wa soka lakini ndio modern football hatuna cha kufanya
Aache kulalama ndio mambo ya VARGuardiola pia alikumbushia mpira ulioguswa kwa mkono na mshambuliaji wa zamani wa Tottenham, Fernando Llorente katika pambano la robo fainali Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu uliopita lakini mwamuzi hakupiga filimbi.
Ndio footballWaombeni watu wa VAR, waombeni waje London. Mabosi wakubwa,” alisema Guardiola akiwataka wakubwa wa VAR watoe maelekezo England.
“Kilichotokea Ligi ya Mabingwa wa Ulaya msimu uliopita, bao la dakika za mwisho la Raheem ndicho ambacho kimetokea leo. Ni ngumu kukubali kwa sababu tunacheza vizuri na tunafunga bao zuri. Wao mara yao ya kwanza walipovuka nusu ya uwanja walifunga bao na la pili lilikuwa la mpira uliotulia.”
Huyu si alikuwa anafanya kazi alikoiba hizo siri na alikuwa na access nazo? Nadhani hizo sifa zimejazwa mubaalagha wa kutosha...Aisee kwa hiyo huyu jamaa sifa anazopewa zinastahiriView attachment 1185333