Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Sijambo, The don heshima yako..! How iz jumatatu
J'3 is OK. Heshima uliyonipa ikurudie sabini mara sabini...

EPL inaendeleaje?

Aseno bado tunakuhitaji. Majamaa yakizingua huko yalikokulazimisha kwenda jisikie huru kuja kwetu kusiko na steresi [emoji16][emoji16]
 
J'3 is OK. Heshima uliyonipa ikurudie sabini mara sabini...

EPL inaendeleaje?

Aseno bado tunakuhitaji. Majamaa yakizingua huko yalikokulazimisha kwenda jisikie huru kuja kwetu kusiko na steresi [emoji16][emoji16]
EPL imechangamkaa, na hivi majamaa hawaonekaniki, itakula kwaoo![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Alipoulizwa moja kwa moja kama kiungo huyo mshindi wa Kombe la Dunia alilobeba akiwa na Ufaransa ataendelea kubaki kuwa mchezaji wa Man United hadi hapo dirisha la usajili wa Ulaya litakapofunga, Ole alisema: “Kwa upande wangu, ndio ataendelea kubaki.”
 
Pogba alitarajia kuanzishwa kwenye kikosi cha Man United kilichomenyana na Wolves huko Molineux usiku wa jana Jumatatu, ikiwa ni kwenye mchakamchaka wa Ligi Kuu England wakipambana kushinda baada ya kuanza vyema kwa kuichapa Chelsea 4-0 uwanjani Old Trafford Jumapili iliyopita.
 
Pogba alitua Man United mwaka 2016 wakati aliposajiliwa kwa ada iliyovunja rekodi ya dunia kwa wakati huo ya Pauni 89 milioni.
 
Na taarifa zinasema kwamba mabosi wa Man United watashawishika tu kumuuza Pogba kama Real Madrid na timu nyingine inayomtaka, Juventus watatoa mara mbili ya dau ambalo wao walililipa, kitu ambacho kinawatesa Los Blancos kwa sasa, hawawezi kulipa Pauni 180 milioni kwa pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…