Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo bench la mbele hapa nasuburi mechiAfe beki afe kipa...Wolves wanachezea leo
TeteteteteKaka yego,mechi imehairishwa until further notice
Hapana itakuwa buza
Hahahaha
Nimecheka sana
YapWolves v Manchester United Tonight!!
Aliokoa jahazi sanaSHUJAA wa Liverpool katika pambano la Super Cup dhidi ya Chelsea alikuwa kipa mpya klabuni hapo, Adrian ambaye mashabiki wengi wa Liverpool bado hawamfahamu vizuri.
hahahahahahaha
Kuheshimu madaraka ni muhimu sanaNdani ya cage kama Hosni Mubarak...
View attachment 1185538
Ati kifaduro hahahahaAseno was my fav team enzi hizo, kidogo nipate kifaduro nikatimuka aisee! [emoji16][emoji16][emoji16]
Free agent safi sanaLiverpool yamnasa bure
Agosti 5, 2019 ilitangazwa Adrian alikuwa amesaini Liverpool bure. Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp alikuwa anasaka kipa wa kumsaidia kipa wake, Alisson Becker baada ya kuondoka kwa kipa wa pili, Simon Mignolet aliyerudi kwao kuchezea Brugge.
Heshima yako hii imejaa "ukorofi" mwingi.hahahahahahaha
Huyu nyumbani kwao sipataji.
Heshima yako bro.
#NaSioBurigi