moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Shwari
Habari za asbh Watanzania
Habari za asbh Watanzania
Tunamshukuru mwenye enzi mkuu Mungu kwa kuiona siku hii ya leo
Wengi walitamani kuiona siku hii ya Leo
Wacha tujifunze kwa kizungu tu hakuna namna
Hahahahaha dah hatari sana
Otea Bradha [emoji3][emoji3]wewe wapanda ipi sis Consu[emoji3][emoji3]