nimepata ubuyu kutoka kwa babu issa wa kolomije unadai ya kwamba eti yule babu marehemu aliyefukiwa kwenye nyumba ya ghorofa amewaambia wajukuu zake wakubwa hawana ruhusa ya kurithi hata chupi zake alizokuwa anavaa nyakati za uhai wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.