moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mi pia namkubali sana huyo jamaa
Safi sana huyu mwamba huwa ananifurahisha balaa
Safi sana huyu mwamba huwa ananifurahisha balaa
Simpendi huyu, anacheza faulo sana.
Yaan ni mzee wa rough
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duh
Hatari sana hii.
Matukio ya moto yamekua mengi sana saivi.
Simpendi huyu, anacheza faulo sana.
Yaan ni mzee wa rough