moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kamanda SHIMBA YA BUYENZE nakuona unapita kimya kimya, matumaini yangu uko buheri wa afya
Nilisikia rais wa brazil anasema hana rasilimali za kuukabili huo moto ikiwa ni pamoja na kuuzima.Moto wa Amazon ni hasara ya Dunia kimazingiraView attachment 1188354
Duh huo moto ni balaa, km ndio unawaka kwa wiki tatu mchana na usiku mfululizo basi utakuwa umeunguza eneo kubwa sana.
Nipo jirani yangu mpenzi[emoji23]Jirani mpenzi uwe unatukumbuka kama hivi
[emoji818][emoji818]
Duh!!Salaam toka Bodi ya LigiView attachment 1188265
Nafahamu bro,,,tumeona leo KMC tayali kasonga ugali wake...imeuma kutolewa wakiwa nyumbanAsalaam Alyeikum bro, mzima.
Bro huo utani tu
#FreeBintiMpoleWapi numbisa,
Miss you