Hahaaa Aleyn aka ben10[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa umri wake ndio hofu yangu,hashauriki.Afadhali Aleyn kashaurika amefikia mikono salama ya cocochanel.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni mbaya sana aisee...Jamani msione tunajiropokea hapa,laiti tungejuana hata comment yangu msingekuwa mna like kwa kunikimbia nisiwaambukize matatizo yangu.Tuvumiliane kama tuna kwazana,hatuna kwa kushinda baada ya kutoka kwenye mihangaikogbefa aliaga jana naona stress zimemzidi
No shemejiShould I be Feeling guilty
Umefanya nini?Should I be Feeling guilty
Mi pia kuna aliyenifata akaniuliza swali kama lako nikamwambia mi ni fa fa fa faMtu unanifata pm eti unaniuliza kwanini upost kwa kingereza
ThanksHuo ndo uanaume sasa. Safi sana mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andjul
Mimi sijakwazika nafurahi kukuona...pokea glass ya like hiyo ushushieHahahhah. Thanks nilisoma kila mlicho andika nikaona kuna mengi zaidi ya like.
Asanteni na mnisamehe nilio wakwaza.......
Pia nashukuru kwa upendo wenu.
Sijambo kabisa, nimerudiGejo hujambo mama?
Vitamu wakati wala siyo vitamu hata sijui kwa nini vinaitwa vitamu!Viazi
Wivu mbaya...... wote hawa ni ndugu zangu tuMhhh!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andjul
Hahaaa sori mzee wa ikwiririUnanifedhehesha sana carba,
Babe s agombaniwe na nani zaidi yangu?
Siku nyingine usirudie kujisahau na kuzungumza hivyo.
Wewe kula like,
Kijana wangu nampa like pia
Unanifedhehesha sana carba,
Babe s agombaniwe na nani zaidi yangu?
Siku nyingine usirudie kujisahau na kuzungumza hivyo.
Wewe kula like,
Kijana wangu nampa like pia
Nini wewe...hapa naandika mistari nijilipue kwako leo stay tuned...[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mhhh!!!!