Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Goodnight sis...Usiku mwema wapendwa [emoji7][emoji7]
Goodnight sis...Usiku mwema wapendwa [emoji7][emoji7]
Na kwako pia uwe na usiku mtulivuUsiku mwema wapendwa [emoji7][emoji7]
Hili halina ubishi[emoji849]View attachment 1189996
TH Kwema? Aseno tayari tushaanza kupigwa kama wenzetu akina Pogba. Makatalunya yalikuwa sahihi. Bakia huko huko. Huku siteresi balaa [emoji16][emoji16]Itapendeza sana....nimekuwa mzembe hatari
Aisee mmebarikiwa mno kuwa nazo izo kaziZa kwetu hapa Jangwani bro
Weka tu torori lako la maua poti. Kwa Numby haina noma. Kanakokuvurugaga ni kale kakivuruge [emoji16][emoji16][emoji16]Numbisa, nimekumisi mpaka naumwa. Natamani nidondoshe bonge moja la ua hapa, lakini yule mwanga akiliona itakuwa balaa. Atali screenshot kwa matumizi ya baadae kuninyakulia Uenyekiti wangu wa kile Chama kitukufu. Come back bana. [emoji16][emoji16][emoji1493][emoji3603][emoji1493][emoji3603]
Shiiimba himself, i missed you
Weka tu torori lako la maua poti. Kwa Numby haina noma. Kanakokuvurugaga ni kale kengine [emoji16][emoji16][emoji16]
Missed you too TH...Shiiimba himself, i missed you
Una maisha magumu sana Poti. Kufeki ugumu is no joke. JITAMBUE...[emoji16][emoji16][emoji16]Huu mtego wako nimeustukia poti. Uenyekiti wangu uko pale pale. [emoji16][emoji16]