Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Andaeitini mnamjua huyu?
FB_IMG_1566037154042.jpeg
 
Ngoja nikwambie kitu...

Wengine eti huangalia nyota na mambo yalivyopangwa kiufundi katika universe ili kuhakikisha uwepo wa Muumba. Mimi huwa naangalia tu jinsi mwanamke alivyoumbwa kwa ustadi wa ajabu na hapo husujudu na kukiri kuwa kweli kuna Muumba. This couldn't have happened by chance. Nefaaaaaaaaa !!!!
4e567509-4c0d-482c-b4d4-1c189be31d56.jpeg
 
kwa huu utafiti wacha na mimi nimwite babu SHIMBA YA BUYENZE
kumbe hii shingo yangu iliopinda imeshapata tiba
Wewe sasa umezidi. Mpaka na shingo imepinda? Huko home si angalau misambwanda huwa inafichwa kwenye mabaibui na madera? Njoo hapa Dar Posta Mpya. Utarudi home bila shingo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom