The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
KwemaTH Kwema? Aseno tayari tushaanza kupigwa kama wenzetu akina Pogba. Makatalunya yalikuwa sahihi. Bakia huko huko. Huku siteresi balaa [emoji16][emoji16]
Majamaa yamepotea tena bila taarifa.![emoji57] but i hope watakuwa salama huko walipo.[emoji120]Missed you too TH...
Ila majamaa makatalunya pia sijayaona. Yako wapi?
Tuwaombee. Vipi ww, uko OK? Ngosha wa Sapiwi na beloved wengine huko hawajambo?Majamaa yamepotea tena bila taarifa.![emoji57] but i hope watakuwa salama huko walipo.[emoji120]
Mungu ni mwema sana wote wazima?Tuwaombee. Vipi ww, uko OK? Ngosha wa Sapiwi na beloved wengine huko hawajambo?