Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kwa taarifa isiyo rasmi binti mpole...... Hukooooo unyamwezini
#mwanakulitakamwanakulipata
#muhimuidadiyawajukuuiongezekeView attachment 1190779
Labda Binti Mpole anaumwa. Siamini kama anaweza kukata karibia wiki bila angalau kutia kaneno hapa hata kama kabanwa na majukumu namna gani. Ama hana nywila au anaumwa. Tupigeni na maombi. Just in case [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hahahahahaha.
AMUN RA.
wapi mzee sa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…