Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si ajabu naye hoi na mijibapa na miK-Vant yake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Hahahahahaha.
AMUN RA.
wapi mzee sa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Shwari Mkuu, mishe zinasemaje?Bradha niaje bro
Mungu amlinde popote alipo.Labda Binti Mpole anaumwa. Siamini kama anaweza kukata karibia wiki bila angalau kutia kaneno hapa hata kama kabanwa na majukumu namna gani. Ama hana nywila au anaumwa. Tupigeni na maombi. Just in case [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
nakula utawala
View attachment 1190751
Utaishia kuvimbiwa tu. Hii kula pole pole at least kwa siku tatu kabla hujaenda kutetea heshima ya ukoo....[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1190753
Short cut mbaya. Kama una katatizo hukajui kwenye moyo rahisi sana kuzimika. Lishe bora na vimazoezi zoezi ndiyo mpango mzima [emoji123][emoji123][emoji123]Hapo Kamanda lazima utafute nguvu za ziada ili ulinde heshima ya ukoo.
Hapo lazima uhusishe Pweza, karanga mbichi, mihogo mibichi, matango, parachichi, tikiti.
Ukitaka shotikati unamtafuta mwenyewe mzee mzima toka Lubumbashi[emoji23][emoji23]
Hahaha mkuu [emoji28][emoji28][emoji28] in ISIS' voice