myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji818][emoji818]Utaishia kuvimbiwa tu. Hii kula pole pole at least kwa siku tatu kabla hujaenda kutetea heshima ya ukoo....[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1190753
Duh!Bikini....Pwani....
View attachment 1190810
Oyoh bro in ni n hicho
Poa sana Bro za siku?Bro mambo vipi
Kusema ukweli ni siku ya tatu sasa sijauona mwandiko wake, kuna mitaa fulani ya kati nayo simuoni. Hata "majirani" zake kama wawili hivi nao siwaoni ile mitaa!!
Tumuombee kwa Mungu kila lenye heri... Hatujamzoea kimya chake.
Asante sana kwa City na Barca ila huko Jangwani hapana broBro Hongera kwa ushindi wa Yanga,
Hongera kwa ushindi wa Barcelona,
Hongera kwa ushindi wa Man City,
Hongera sana bro[emoji120][emoji120][emoji120]
πππ[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1190689
ππππFundi Maiko kazi yako nimeiona hapa Mikumi View attachment 1190705
ππππ Huyu Amber huyuAmber Rose. King upo?
View attachment 1190771
Amen.Kusema kweli tunamuombea kila lililo la heri huko aliko. Kuna sehemu nimeona myoyambendi amesema yuko mapumziko, tunaomba iwe hivyo! [emoji120]
Amin.Asubuhi njema kwenu wote