mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kweli mkuu Numbisa ni mtu muhimu kwenye Uzi wetu huuLabda Binti Mpole anaumwa. Siamini kama anaweza kukata karibia wiki bila angalau kutia kaneno hapa hata kama kabanwa na majukumu namna gani. Ama hana nywila au anaumwa. Tupigeni na maombi. Just in case [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahaha nawaona na SYB mnamsema malkia wangu namtupia screenshot PMHahahahahaha.
AMUN RA.
wapi mzee sa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
AiseeeSi ajabu naye hoi na mijibapa na miK-Vant yake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Umesahau MlongeHapo Kamanda lazima utafute nguvu za ziada ili ulinde heshima ya ukoo.
Hapo lazima uhusishe Pweza, karanga mbichi, mihogo mibichi, matango, parachichi, tikiti.
Ukitaka shotikati unamtafuta mwenyewe mzee mzima toka Lubumbashi[emoji23][emoji23]
Praise timu kiduku watakutoa machoUjinga mtupu, mtu na akili zako timamu uwanyime umeme watu wako kisa unazalisha silaha za kuulia binadamu kwa sababu dhaifu za kujilinda.
Pumbavu zao wao viduku wote[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wanasayansi wanasema 20% ya hewa safi duniani inatoka kwenye misitu ya amozon sasa itakuwaje kwenye hiliHuku Amazon moto tu umepamba moto. Hata raha hakuna bro. Huko kwako vipi?
Mkuu niaje za masikuPoa sana Bro za siku?
Na kwako pia mkuuAsubuhi njema kwenu wote
AminaIwe siku ya baraka na amani..
YapJumanne nyingine
AminaTumshukuru Allah kwa majaaliwa yake
Jamaa kweli alikuwa na sura mbaya hasaNamuona kwa mbali hapo kushoto, mtoto wa Ilala Sharif shamba Masoud Bayabo aka Masoud Surambaya.
Bingwa wa kwanza aliyenyakua ushindi kwenye mashindano ya "mwanaume mwenye sura mbaya 1997"