Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Remi hakustahili kushinda haya mashindano. Masoud alidhulumiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo sawa. Haki ilitendeka !!!Masoud alishinda namba moja, remi namba 2 na mzee Jangala namba 3.
Hata hivyo remi alilalamika kuwa jamaa alikuwa mzuri mbele yake,
Kwamba jamaa alipendelewa[emoji23][emoji23]
Kuna ukweli aisee. Tutafuteni pesa wanaume
Hapo sawa. Haki ilitendeka !!!
Abeee[emoji126][emoji126][emoji126]Wanawake wanapenda sana hela shwaini zao
Heh kumbe unajali na mama watoto[emoji5][emoji5][emoji2100]Tunaongezea na Aviation ili ndoto yako ya kuendesha ndege itimie....
Duh! shilingi ngapi?Jengo linauzwa huko nyanda za juu kusini View attachment 1191002
Sijaona bro ila nipo...mambo mambo tu..Poa sana mzee mwenzangu, asubuhi nimekuulizia hapa nikaona kimya bora umetokea.
Mambo vipi lakini?
Nywele tu hizo[emoji119]Hizi ni mila zetu wafrika, ingawa kuna ambao wanajaribu kuzikana na kupapatikia mila za kigeniView attachment 1190681