Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtungo wa mawazo ulipojirefusha kichwani mwake, na kumjaza hofu kubwa, akamtupa mbuzi wake na kutimua mbio. Ambacho mkulima huyo hakukigundua ni kwamba, wale vijana watatu walikuwamo kwenye lile genge alilokutana nalo kule mwanzo mara baada ya kupewa mbuzi.
 
Back
Top Bottom