gentlemanx
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 2,383
- 7,227
PoleeNdo yamenikuta hivo
I couldn't control myself so I decided to quit completely. Three years strong and counting!Thank you my dada.I am very principled on this.
Wapi wataka kuweka?Kama hutaki nabadilisha character naweka mwingine
Acha,umewahi simama traffic light taa ya kijani inawaka ila hauigundui rangi? Unapigiwa honi na walio nyuma yako hauzisikii? Hadi anakufuata askari ajue tatizo lako,unamjibu sina tatizo nasubiria taa ya kuniruhusu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] anakuuliza wewe ni kipofu? Una mjibu "ndio afande"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Wewe unakwazika na mwandiko?? Nichane sasa[emoji13] [emoji13] [emoji13]Huu uzi ni faraja kibwa sana kukaa humu na kutaniana kunatufanya tusahau matatizo yetu...ila best way na ku deal na shida zetu ni kuongea na kuwa na open heart kukubali na ushauri wa watu...huwezi jua unayopitia wewe na mimi ni hayo hayo,tunapo ongea tunapata ways to deal with our problems...
SHIMBA YA BUYENZEJakitoo
Kumekucha huku kwetu sijui huko kwenu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Mdada mtamu
I couldn't control myself so I decided to quit completely. Three years strong and counting!
Asante sanaHongera sanaa asee
toa likes pata likes mkuu antonioJakitoo
ShindwaHappy happy....