myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
asubuhi ya chai
Mpenzi tulikuhamu mno karibu tena 😍Hahahahaa hawachi bana. Ile ndege hata sioni faida yake bora tungeboreshewa treni yetu
Nawe pia dearNiwatakie siku njema na majukumu mema
Niliwahamu pia. Nimekosa ubuyu wa kila aina jamani mnipepo basi picha nilizozikosa. Asante nimeshakaribiaMpenzi tulikuhamu mno karibu tena 😍
Yaani dear nilikusaka kwenye zile mada ukuje piemuni ila picha Sina 😃😃😃Niliwahamu pia. Nimekosa ubuyu wa kila aina jamani mnipepo basi picha nilizozikosa. Asante nimeshakaribia
Nakuja hivyo hivyo ili ukipata nifaidipo na mieYaani dear nilikusaka kwenye zile mada ukuje piemuni ila picha Sina 😃😃😃
Mhenga mwenzangu nimekuita kiujanja Jamanii 😃😃😃Nakuja hivyo hivyo ili ukipata nifaidipo na mie
Walyeikum msalam MoudgulfAsalaam Alyeikum