Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Oops! We ran into some problems.
You have been banned for the following reason: Bleed inakusumbua pole shosti. Your ban will be lifted on Aug 29, 2019 at 12:00 AM.
Ankoo wangu huyoo.... Uufwaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
tapatalk_1530901546172.jpeg
 
Numbisa, nimekumisi mpaka naumwa. Natamani nidondoshe bonge moja la ua hapa, lakini yule mwanga akiliona itakuwa balaa. Atali screenshot kwa matumizi ya baadae kuninyakulia Uenyekiti wangu wa kile Chama kitukufu. Come back bana. [emoji16][emoji16][emoji1493]‍♂[emoji1493]‍♂
Am back poti. Sio kwa missed call hizi![emoji2]
IMG_20190829_091442.jpg
 
Back
Top Bottom