Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chochea volume mpaka mwisho kabisa...
View attachment 1192263
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kusema ukweli kundi la hawa vijana lilikuwa linaniliwaza sana. Mtu unakuwa umechoka kwa mambo mengi, usingizi nao unagoma,Kvant haichanganyi, unaingia kwenye huu uzi, una kutana na wajinga watatu (majamaa) na dada zao wakiwa na mshadadiaji binti mpole huku kwa mbaali Kijana Mpole anamrukia kima hesabu TH,nakuwa nacheka peke yangu hadi usingizi unanipitia...
 
Rangi inahusu timu gani?
FB_IMG_1567013540598.jpeg
 
Back
Top Bottom