Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muha anaposherehekea siku yake ya kuzaliwa [emoji23][emoji23]
FB_IMG_1567012985980.jpeg
 
Ungejua sikutegemea kumbe ulikuwa kwenye ile mada unanichora tu maana Kuna vidume kama 2 vilinitukana sana why hukunitetea mpendwa wako [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nakujua uimara wako, wewe na Numbisa sina wasi wasi nanyi kwenye ligi. Tulikuwepo wengi, angeleta za kuleta ungetuona tunavyoibuka na marungu.
 
Wanasemaga nyoka mkubwa anayeweza kumeza kijiji kizima anahamishwa/kupaazwa juu kwa staili hiyo.
Wanaoishi kwenye milima yenye misitu minene, kando ya milima yenye yenye miamba na vyanzo vya mito, wanaoishi kando ya bahari, maziwa wana simulizi za kutatanisha kuhusu tukio la aina hiyo
Water Spout au ni tornado mwenyewe?
FB_IMG_1566988199340.jpeg
 
Back
Top Bottom