Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Asante kwa ushauri binafsi nazingatia hilo.Zile Id zipo kwa kazi maalum, zipo kama nne hivi, ni watu wa karibu sana na wasichana wa humu.Mjitahidi sana kuwa mbali na maisha ya humu
Asante kwa ushauri binafsi nazingatia hilo.Zile Id zipo kwa kazi maalum, zipo kama nne hivi, ni watu wa karibu sana na wasichana wa humu.Mjitahidi sana kuwa mbali na maisha ya humu
Hakika. Arudi tu, hayo mambo mengine aahirishe ataendelea nayo hadi pale ambapo moudgulf, myoyambendi, SHIMBA YA BUYENZE na wengine watakapo pata nafasi ya kuusukuma mbele uzi wetu...Hahah umuhimu wa binti mpole umeonekana dhahiri
Hahaha aloooYanga ni kama Wamasai tu,wakiwa porini wanauma Simba...wakija mjini wanageuka wasusi wa kina dada[emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
Sisi ni ndugu huku, ukiumizwa kule tutafadhaika sote, aibu itakuwa yetu soteAsante kwa ushauri binafsi nazingatia hilo.
Pole sana😂😂😂🏃Yanga roho imeniuma sana
Mxieeeew
Hii kauli "Apumzike kwa amani" ndipo mahali pake hapa...
Aresti ini pisi bidada wa Mungu
pokea ukweli japo mchungu mama kwa maana hakuna namna na ID's zenu fake basi mna fake kila kitu....hilo limethibitishwa 😎
Huu Uzi sio wa kusutana, nenda MMU kwa wenzako kule
Usituchafulie Uzi na mambo yako ya kiswahili haya. Tena ukome
Ulimkuta nani wa JF yupo hivo.?
Ni kweli. Huku siyo kawaida yetu kugombana. Tunaishi kwa amani sana. Tuvumiliane wapendwa !!!
Pole pole kamanda. Kwenye uzi huu huwa tunaishi kama ndugu na tunaheshimiana sana pamoja na utani mwingi. Ndiyo maana uzi huu umeweza kuvunja rekodi za kila aina. Tuvumiliane please!!!
Yanga ni kama Wamasai tu,wakiwa porini wanauma Simba...wakija mjini wanageuka wasusi wa kina dada[emoji23][emoji23][emoji706][emoji706]
Hata Kakobe/Mzee wa upako wasipo kuwepo kanisani mahubiri yanaendelea kwa Cd... Kuna haja ya kuongeza sauti????? View attachment 1192245