Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haka ka Numbisa bado kameuchuna? Inabidi tukazukie huko Kamanga Ferry sasa! [emoji16]
Hata Kakobe/Mzee wa upako wasipo kuwepo kanisani mahubiri yanaendelea kwa Cd... Kuna haja ya kuongeza sauti?????
IMG_20190828_152509.jpeg
 
Nzuri Andjul,Asante kwa kunikumbuka mpendwa [emoji120]
Mpendwa kuna sehemu nakuonaga unawapa tuisheni wavulana wasio na adabu, siku nyingine ikitokea kama ile ya juzi na jana ya kutajana na kuchorana visura vyao nakuomba uniitage, ila ikiwa tu utakuwa una pata nafasi... Hata kama ni ubuyu hakuna ubaya... Huwa nami namung'unya mara chache chache...
 
Back
Top Bottom