Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

67562729_123500748983661_4052505668462118521_n.jpg
 
Mpendwa kuna sehemu nakuonaga unawapa tuisheni wavulana wasio na adabu, siku nyingine ikitokea kama ile ya juzi na jana ya kutajana na kuchorana visura vyao nakuomba uniitage, ila ikiwa tu utakuwa una pata nafasi... Hata kama ni ubuyu hakuna ubaya... Huwa nami namung'unya mara chache chache...
Usijali mpendwa nitakustua japo sitegemei tena kama ujinga kama ule utajirudia tena.
 
Back
Top Bottom